Thursday, April 24, 2014

Hivi ndivyo bomu la kutegwa lilivyolipua gari iliyokuwa na watu ndani yake.

Police inspecting the wreckage of the bomb attack in Nairobi, 23 April 2014
Mlipuko huwo ulitokea nje ya kituo cha polisi ambapo gari iliyokuwepo imepaki kituoni hapo ililipuka na kusababisha vifo vya watu wanne (4). Miongoni mwa watu hao waliofariki wawili (2) ni askari wa jeshi la polisi la Kenya.