Sunday, April 13, 2014

JIJINI DAR ES SALAAM MAJI YA SHINGO. WATU WAFARIKI, KUPOTEZA MAKAZI, KUHARIBIKA NA KUPOTEA KWA MALI.


Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimeleta maafa makubwa sana jijini Dar es Salaam ikiwemo kusababisha vifo vya watu 8,  kupoteza makazi ya wananchi, kuharibika vibaya na kupotea kwa mali za wakazi wa jiji hilo, kuharibika kwa miundo mbinu kama vile kuvunjika kwa madaraja, na kudondoka kwa nguzo za umeme.
ZIFUATAZO NI PICHA ZINAZOONESHA HALI HALISI JIJINI HUMO