Wachezaji wa timu ya Barcelona leo wametembelea sehemu ambayo
mwili wa Kocha wao wa zamani Tito Vilanova ulipohifadhiwa.
Kocha huyo aliyefariki
siku ya Ijumaa akiwa na umri wa miaka 45, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa
Cancer ya koo kwa muda mrefu.