WATOTO WATATU JIJINI DAR WAFARIKI DUNIA WAKIOGELEA WALIPOKUWA WAKISHEREHEKEA KUZALIWA KWA MTOTO MWENZAO
Hali ya simanzi imetawala maeneo ya Kijitonyama baada ya watoto watatu kutoka familia tofauti wamefariki dunia juzi walipokuwa wakisherehekea Birthday ya mtoto mwenzao. Ni hali ya kusikitisha sana.