BASI LA ABIRIA LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MAENEO YA MIKUMI MUDA MFUPI ULIOPITA
Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa chini baada ya kupata ajali katika maeneo ya mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita.
Basi hilo lilikuwa likisafiri kutokaNjombe kuelekea Dar limepata ajali katika maeneo ya mikumi na kujeruhi watu kadhaa. Hata hivyo katika ajali hiyo hakuna mtu ambaye amepoteza maisha hadi sasa.