Sunday, May 4, 2014

Msanii wa Bongo Flavor Diamond (Nasib Abdul) Amejinyakulia Tuzo saba za Kilimanjaro KTMA usiku wa kuamkia leo


Msanii maarufu nchini tanzania anayefahamika kwa jina la Diamond ameibuka kidedea baada ya kunyakua tuzo saba. Katika tuzo hizo zilizonyakuliwa na bingwa hyo ni pamoja na:
Wimbo bora wa mwaka, wimbo bora wa Afro pop na video ya mwaka kwa wimbo wake wa My Number One pamoja, Muimbaji bora wa kiume – Kizazi kipya, Mtunzi bora wa kiume wa muziki, mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi kipya.