Tuesday, December 9, 2014

WAWILI WAUAWA KATIKA ZOEZI LA UJAMBAZI

   
Kufuatia hatua hiyo mmoja kati ya wafanyakazi wa kiwanda hicho Bwana Amiry Ramadhani ameliomba jeshi la polisi mkoani Tanga kuhakikisha wanafanya upelelezi wa kutosha ili kujua kama huenda kuna baadhi ya wafanyakazi ambao wamekuwa chanzo cha tukio hilo.

Crdt: Ngara Yetu