Wednesday, January 28, 2015

Prof. Lipumba hali mbaya Makao makuu ya polisi



 
Ni baada ya kupata kichapo kutoka kwa askari wa jeshi la polisi.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya Kinondoni, Dar, baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya polisi kujibu shutuma za kuandamana jana.

Habari kamili zitakujia hibvi punde usiende mbali na mtandao wetu