Saturday, February 7, 2015

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVI AFARIKI DUNIA



  
Wasanii wakiungana na waombolezaji wengine katika msiba.

Msanii wa maigizo aliye wai kuwika na Kaole sanaa Group Mwajuma Abdallah 'Mama Mashaka' amefariki dunia 

Mama Mashaka amefariki usiku wa Kuamkia leo katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar.
 
Mwajuma Abdalah Mama Mashaka enziza uhai wake
 Bwana alitoa Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe