Wednesday, April 15, 2015

BASI LA JODAN - MWANZA ARUSHA LAPATA AJALI MBAYA



Lile jinamizi l ajali nchini linaendelea kutikisa uhai wa wananchi wa Tanzania. Baada ya siku mbili tu kupita tangu ilipotokea ajali kule mkoani Morogoro na kuua watu 18 na wengine kujeruhiwa, Ajali nyingine mbaya imetokea muda huu.

Bado haijafahamika ni watu wangapi waliofariki na wangapi ni majeruhi, endelea kututembelea kwa taarifa zaidi.