Saturday, June 13, 2015

Nyumba Yateketea Kwa moto Jijini Dar. BOFYA HAPA KWA TAARIFA KAMILI

Nyumba moja imeteketea kwa moto katika maeneo ya Ukonga Mazizini Jijini Dar Esa Salaam. 
Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo hilo no kwamba bado haijafahamika mara moja kwamba chanzo cha moto ni nini na hakuna taarifa za aliyepoteza maisha  wala kiasi gani Thamani ya mali iliyopotea kufuatia Moto huo.
Chanzo: ITV