Sunday, July 12, 2015

Aliyepita Kuwania Kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha mapinduzi Ametangazwa rasmi. BOFYA HAPA>>

Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi  Mh Jakaya Mrisho Kikwete, amemtangaza Rasmi Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya chama cha hicho (CCM) ili kuweza kupambana na Ukawa na Vyama vingine kwenye uchaguzi mkuu wa kinyang'anyiro cha Urais wa awamu ya Tano. Zoezi hili ni baada ya wajumbe wa mikoa kupiga kura kumchagua mmoja kati ya wale Watatu waliopitishwa Jana.

Kura zilizopigwazilikuwa  2420,
zilizo haribika ni 6 
Jumla ya kura Halali ni 2416


Dr Asha Rose Migiro amepata 56 (2.4%)

Amina Salim Ally kura 253 (10.5%)
Jonh Magufuli kura 2104 (87.1)
Hivyo mgombea aliyepita baada ya kupigiwa si mwingine bali ni JOHN MAGUFULI