Friday, July 10, 2015

BREAKING NEWS!! CCM Yatangaza Wagombea Watano Wa Urais

Kikao cha KAMATI KUU (CCM) kimekamilika na kufanikiwa kuwatea wagombea wake 5 ambao ni; 1) Bernad Membe 2) John Mgufuli 3) Asha Rose Migiri 4) January Makamba 5) Amina S Ali.
Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi.