Sunday, July 26, 2015

Chama Cha Democrasia na maendeleo (CHADEMA) Kimeapa Kuwafukuza Uanachama Wagombea hawa. BOFYA HAPA=>

Wakati mkutano mkuu wa kura za maoni ukiendelea katika wilaya mbalimbali ili kutafuta wagombea watakaopeperusha bendera zao katika kinyang'anyiro cha nafasi za uwakilishi wa wananchi katika ubunge. 

Chama cha Demokorasia na maendeleo (Chadema) mkoani Tabora kimeapa kuwafukuza uanachama wagombea watakaobainika kutoa honge, Chao ili kujipatia kura za maoni katika nafasi hiyo.

HABARI NA MATUKIO YA KUSISIMUA ZAIDI BOFYA HAPA=>