Monday, July 13, 2015

Msafara wa naibu Waziri wapata Ajali Mbaya na Kuua 4 papo hapo

Watu wanne wamekufa papo hapo katika ajali iliyotokea eneo la Mapinga wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya magari matatu yaliyokuwa yamebeba watumishi wa Halmashauri,waliokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa TAMISEMI kugongana na Lori.

chanzo: ITV