Tuesday, November 24, 2015

BREAKING NEWS: Mahakama Imekubali Kusikiliza Maombi Ya Familia Ya Marehemu Alfonce Mawazo

Mahakama kuu kanda ya Mwanza imekubali kusikilizwa kwa maombi ya familia ya Marehemu Alphonce (Pichani)Mawazo baada ya maombi ya serikali yakiyotaka kutosikilizwa kwa kesi hiyo kutupiliambali.
CHANZO: ITV

MATUKIO LUKUKI YENYE MSISIMKO BOFYA HAPA>>