Monday, November 9, 2015

Hivi Ndivyo Ziara ya Kushitukiza ya Dr. Pombe Magufuli ilivyokuwa Kwenye Hospitali ya Muhimbili

Kufuatia ziara ya Rais Dr Magufuli hospitali ya Taifa Muhimbili kuibua mambo yasiyoridhisha Rais amevunja bodi ya hospitali ya taifa Muhimbili ambayo ilishamaliza muda wake na kumteua Prof. Lawrence Mseru kukaimu nafasi ya ukurugenzi mkuu wa hospitali hiyo kuchukua nafasi ya Dr. Hussein Kidanto ambaye amerejeshwa wizarani.
CHANZO: ITV