Friday, November 13, 2015

Huu Ndio Mpango wa Aliyekuwa Spika wa Bunge, Bi Anne Makinda juu ya kugombea tena nafasi hiyo

Aliyekuwa Spika wa Bunge katika Bunge la kumi la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Bi. Anne Makinda amesema kuwa hanampango wa kugombea tena nafasi hiyo na wala hajachukua fomu kama inavyo elezwa na baadhi ya watu.
CHANZO: ITV
MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPA>>