1.Kwenye simu yako ya android,nenda kwenye sehemu ya "setting" kisha nenda kwenye neno "application" kisha bonyeza whatsapp.
2.baada ya kufunguka "setting" ya whatsapp bonyeza option hii "clear data" itakuletea onyo bonyeza ok.hapo utakua umefuta kila kitu.
3.Baada ya hapo toka kwenye setting kisha nenda kwenye program yako ya whatsapp ifungue,,itakutaka uactivate.
4.Ingiza namba yako kisha katika kuactivate chagua "restore data" bonyeza hapo.mpaka hapo utakua tayari umerudisha msg zako na endekea kufurahia
JIUNGE NASI KUPATA HABARI MOTOMOTO KILA SAA, BOFYA HAPA>>
