Monday, December 7, 2015

NEWS: Kiama Kimewashukia Wafanyakazi wa Halmashauri ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Milioni 512.3 Zimewaponza

Wafanyakazi 11 wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wakiwemo afisa utumishi wa wilaya, mchumi, mhasibu na afisa ugavi, afisa muuguzi na katibu wa afya wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za serikali zaidi ya shs. 512.3mil/= kati ya Julai na Juni mwaka huu.

MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA NA HABARI MOTO MOTO, BOFYA HAPA>>