Thursday, December 24, 2015

Polisi Waagizwa Kuwakamata Bodaboda na Abiria Wao

Polisi waagizwa kuwakamata waendesha pikipiki maarufu Bodaboda na abiria wanaukubali kupanda zaidi ya wawili-maarufu mishikaki na kuwasweka rumande kabla ya kuwafungulia mashtaka ya kuvunja sheria ya usalama barabarani.

Chanzo: ITV

HABARI ZETU MOTO MOTO BOFYA HAPA>>