Saturday, January 16, 2016

BREAKING NEWS!...Vituo Vya Redio 21 na televsion 6 vyafungiwa.

Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA leo imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya Television kwa muda wa miezi 3 kikiwemo kituo cha Star TV,Radio free Afrika,Kiss Fm na Uhuru FM.

Chanzo Chetu kinaendelea kufuailia kwa ukaribu zaidi habari hii, utafahamishwa punde itakapokamilka. 

Chanzo; ITV

Endelea kupata Habari zetu zenye Kusisimua zaidi  BOFYA HAPA>>