Wednesday, February 10, 2016

AJALI MBAYA: Kontena ladondokea Daladala na Gari ndogo Jijini Dar

Habari zilizoenea kwa kiasi kikubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela jijini Dar Es Salaam ni kuhusiana na ajali iliyotokea ya kontena kuangukia basi dogo la abiria maarufu kama daladala na gari ndogo. 

Ajali hiyo kwa taarifa za awali inatajwa kutokea maeneo ya Tabata. chanzo chetu kinanelea kufuatilia kwa kina taarifa kamili ili kukuletea habari za uhakika zaidi ila hizi ni picha za mwanzo kuhusu ajali hiyo

Chazo: Pressbongo

 HABARI NA MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA CLICK HAPA>>