Thursday, March 31, 2016

Ajali: Barabara Yaporomoka na Kuua watu 10

Watu kumi wamekufa na wengine ambao idadi yao bado haijajulika wamejeruhiwa baada ya moja kati ya barabara za ghorofa zilizopo katika mji wa CALCUTTA nchini India kuporomoka.

Chanzo ITV

MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA CLICK HAPA>>