Sunday, March 13, 2016

Ajali iliyo husisha basi la Saibaba lenya namba za usajili T720 ADE

Watu watatu wamefariki dunia na sita kujeruhiwa kwenye ajali iliyo husisha basi la saibaba lenya namba za usajili T720 ADE na lori la mizigo aina ya Mitsubishi CANTER T 742 CRS zilizo gongana uso kwa uso katika eneo la sakina jijini arusha.



















HABARI NA MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA CLICK HAPA>>