Baraza la habari nchini MCT pamoja na mashirika mengine matano yanaojishughulisha na mambo ya habari pamoja na utetezi wa haki za binadamu wamelani vikali kitendo cha kutekwa na kupelekwea kusikojulikana kwa mwadishi wa habari Salma Said na kuviomba vyombo vya dola kumtafuta popote alipo.
Akisoma tamko hilo kwa niaba ya tasisi hizo katibu mtendaji wa MCT Bw.Kajubi Mkajanga amesema kitendo alichofanyiwa mwanahabri huyo ni kibaya na kinakwenda kinyume na misingi ya haki za Binadamu.
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA CLICK HAPA>>