Thursday, April 21, 2016

Gari Lagonga Treni na Kusababisha Mlipuko Mkubwa

 Watu 3 wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Fuso kuligonga Treni ya mizigo wilayani Manyoni mkoani Singida na kusabisha moto mkubwa kuwaka na kuharibu miundo mbinu ya reli.


 MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>