Mnamo
majira ya saa 10 alfajiri, gari aina ya Hiace iliteleza toka kwenye
kivuko na kutumbukia katika bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.
Gari
hiyo ilikuwa na abiria wawili. Mpaka majira ya asubuhi, jeshi la
zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na likaendelea
kuutafuta mwili wa pili.
Mchana huu umepatikana mwili wa pili wa Nice Karagwe huku zoezi la kuitoa gari likiendelea
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>