Wednesday, May 25, 2016

Bodi ya tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) yavunjwa

Serikali imevunja bodi ya tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) huku mwenyekiti wake Awadhi Mang’enywa ambaye mamlaka ya uteuzi wake yanatokana na rais John Pombe Magufuli akiridhia asimamishwe kazi baada ya kubainika bodi hiyo kupitisha majina ya wanafunzi 486 kusoma shahada ya ualimu chuo kikuu cha mtakatifu Joseph kampasi ya Arusha na Songea huku wakiwa hawana vigezo na baadhi yao wakinufaika na mikopo ya elimu ya juu.

  Chanzo ITV

MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>