Saturday, April 29, 2017

Magufuli ataja jina la kwanza la mtumishi mwenye cheti feki



Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti hiyo.

Alimtaja mtu huyo kuwa ni Abadallah Polea, ingawa hakueleza ni wa wapi na aliajiriwa katika sekta ipi ya umma.

 Nafasi za Ajira zilizotangazwa Bofya hapa 
http://studentswagas.blogspot.com