Monday, May 15, 2017

Maajabu ya Mti unaozungumza Mwanza

Mti wa ajaba wa Mwembe, Dozer D8k limeshindwa kuung’oa hapo ulipo, chain saw imeshindwa kuukata, shoka limeshindwa kuuwangusha. Inasemekama hata Nyanza Road Works imebidi wauwache kama ulivyo, maana ukiukata unalalamika kuwa unatoa damu “sisi ni wahapahapa hatuondoki” hayo ni amaajabu ya Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Barabara ya lami inayojengwa toka Mjini kati kwenda Airport. Maeneo ya Iloganzara.


DUNIANI KUNA MAMBO


     NAFASI ZA AJIRA ZIMETANGAZWA, BOFYA HAPA
http://studentswagas.blogspot.com/search/label/EMPLOYMENT