Saturday, June 17, 2017

Mambo 6 ya Kuzingatia mwishoni mwa Wiki

Wakati tukielekea kuikamilisha wiki hii, Mtandao wa Wanasaikolojia Uingereza, (UK Psychologicalexperts) umetoa mawazo kadhaa ya kukujenga unapomaliza wiki.
* Jiamini
*Acha kutumia muda mwingi kufikiri badala ya kutenda
*Fanya kazi kwa bidii
*Epuka kuahirisha hairisha mambo
*Kuwa mnyenyekevu
* Kuwa rafiki mwema