Wednesday, December 4, 2013

MAHAKAMA YAKISUTU YAMTAZAMA KAPUYA KWAJICHO LA UCHU

 
Iposiri kubwa ambayo imefichika ndani ya mahakama ya kisutu kutokana na na sifa iliyokuwanayo ya kuhukumu kesi zile zilizoshindikana ama zile zinazowahusu watumaarufu hasa wasanii na vigogog wa nchi hii.

Imeonekana ni jambo la kawaida kwa kesi yoyote nzitokuangukia kwenye mahakama hii ya Kisutu iliyopo jijini Dar Es Salaam. Kihistoria ni kesi nyingi sana za namna hiyoiliyoelezwa hapo juu ambazo hukumu zake zimefanyika katika mahakama hii ya Kisutu.

Kwa mfano kuna kesi kama vile kesi ya Jerry muro yule mtangazaji anayesifika kwa umahiri wa habari za uchunguzi alifikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma alizokuwa anakabiliana nazozilizokuwa zinahusika nakupokea rushwa.

Pia kuna kesinyingine yahivi karibuni iliyokuwa ikimhusu msanii wa filamu Kajala kutoka na kukutwa na hatia ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa. Katokana na kesihii msanii huyo alihukumiwa kufungwa jela miaka mitano au kutoa faini ya shilingi milioni 13. Hata hivyo nusura ilimkuta msaniihuyo baada ya msanii mwenzake Wema sepetu kumlipia faini hiyo.

Wasanii wengine maarufu ambaoBofya hapa kuendelea