Sunday, December 15, 2013

USALITI WA ZITTO ULITABILIWA SASA UMETIMIA? JE? NAE ANAWEZA KUFUATA NYAYO ZA DR AMANI WALID KABOROUROU?. NA KWANINI WANASIASA WENGI WA KIGOMA NI VIGEUGEU?


Nimekuwa nikisoma habari hizi za usaliti kw amuda mrefu kutoka kwa waandishi mbalimbali. Wengi sana, pamoja na rafiki yake Absalom Kibanda, walimtabiria zitto, na sasa utabiri wao umetimia. Mfano msome huyu hapa chini aliyeandika katika gazeti la RAI:

CHADEMA inapovamiwa na ‘duduwasha’ Ijumaa, Desemba 28, 2012 05:43 Na Egbert Mkoko
MIEZI tisa iliyopita katika safu hii, niliwahi kuandika makala kuwa Mkoa wa Kigoma unaongoza kwa kutoa wanasiasa mahiri ambao baadae hugeuka ‘vigeugeu’. Nilitoa mifano kadhaa. Naomba nirejee sehemu ya makala ile, na kisha mwisho wa makala hii, nitaeleza kwanini nimerudia kuelezea haya.
Sehemu ya makala hiyo ilikuwa inasema;BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI