Saturday, May 17, 2014

MSANII MAARUFU NCHINI WA FILAMU (ADAM KUAMBIANA) AFARIKI DUNIA, CHANZO CHA KIFO CHAKE CHAWEKWA WAZI NA UTAMU WA RAHA)


Msanii maarufu nchini wa tasnia ya filamu Adam Kuambiana amefariki dunia leo Jumamosi tarehe 17- 2014. Kwa taarifa zilizotufikia ni kwamba marehemu Adamu Kuambiana amekutwa na mauti hayo ghafla baada ya kudondoka alipokuwa location.


Kulingana na chanzo cha taarifa hizi ambacho ni msanii maarufu kimeandika kwenye mtandao wa INSTAGRAM “Adam Kunambi Afariki dunia sasahivi, Mungu alitoa Mungu ametwaa, RIP Adam Kuambiana”