Monday, March 16, 2015

BONGO DAS'LAAM

SIMULIZI YA KUSISIMUA
Taarifa za maisha bora na mazuri yaliyokuwepo JIJINI DAR ES SALAAM zilimvutia sana kijana AYUBU na kuingiwa na tamaa za kwenda kutafuta maisha jijini humo. Changamoto alizokumbana nazo zimemfanya amtafute muandishi Kizaro Mwakoba kwa msaada wa Kuandika Kitabu.


Simulizi hii ya kusisimua iliwahi kuchapwa kwenye gazeti la SANI ikatokea kupendwa na wasomaji wengi ambao nao walisisitiza sana kuharakishwa kwa kitabu chake sokoni.
 >Soma Kuanzia Mwanzo hapa>  

  Soma Toleo Jipya hapa>>                           
_________________________________________________________________________