Tuesday, March 24, 2015

HII NDIYO KATIBA YA TANZANIA INAYOPENDEKEZWA

Ndugu mtanzania mwenye sifa na vigezo vya kupigia kura katiba ya Jamhuri ya Tanzania, Tambua kuwa kupiga kura ni haki na wajibu wako.  Pata fursa ya kuipitia katiba hiyo kabla ya kuipigia kura ya ndio au Hapana, usiburuzwe na mtu, Maamuzi ni yako.

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD KATIBA INAYOPENDEKEZWA>>