Wednesday, March 11, 2015

ZAIDI YA WATU 50 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI WALILOPANDA KUDONDOKEWA NA KONTENA


   

 
BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana.

Watu wapatao 50 ama zaidi wanahofiwa kufa papo hapo baada ya basi hilo la Majinja Express a kuangukiwa na kontena la Roli.
 

  

Name:  IMG-20150311-WA0022.jpg
Views: 0
Size:  63.4 KB