Tuesday, October 27, 2015

Matokeo Ya Uchaguzi Jimbo la Longido, Mwanga, na Bariadi

Katika jimbo la Longido Chadema wameshinda kata 7, CCM kata 11, mbunge Nionesmo Nangoe wa Chadema Kashinda kwa kura 20,176, Jimbo la Mwanga ameshinda Jumanne Maghembe wa CCM,, Bariadi Mashariki Njaru Daudi Silanga wa CCM ameshinda Bariadi Magharibi Andrew Chenge ameshinda.