Tuesday, October 27, 2015

Matokeo Ya Uchaguzi: Majimbo ya Babati na Moshi Mjini....BOFYA HAPA>>


Jimbo la Babati mjini Paulina Gekuli wa Chadema ameshinda kwa kura 21,970, na kumshinda Werema Chambiri wa CCM aliyepata kura 16,434.

Jimbo la Moshi mjini Jaffari Michael wa Chadema ameshinda kwa kupata kura 51,646 akifuatiwa na Davis Mosha wa CCM kwa kura 26,920 ambapo kati ya kata 21, Chadema wamechukua kata 16 na 2 CCM

Endelea Kupata Matokeo Bofya Hapa>>