Tuesday, October 27, 2015

Matokeo Ya Uchaguzi Majimbo ya, Ubungo, Meatu, Kisesa, na Kigamboni...BOFYA HAPA>>

 
UBUNGO: Kubenea Saidi Ahmed wa Chadema ameshinda, Jimbo la Meatu ameshinda Salum Mbuzi wa CCM, Luhanga Mpina wa CCM ameshinda Kisesa na Jimbo la Kigamboni ameshinda Faustine Ndungulile wa CCM.