Saturday, December 19, 2015

JOB VACANCY in TANZANIA: High School Teachers

HIGH SCHOOL TEACHERS 

POSITION DESCRIPTION:
Teachers
Kituo cha masomo ya ziada na watahiniwa binafsi ( Private Candidates ) kinatangaza nafasi za kazi ya wa kufundisha, watahiniwa wa kidato cha Tano na Sita, Mchepuo wa HKL katika program ya mwaka mmoja.

SIFA ZA MWOMBAJI.

i. Awe na elimu ya kuanzia Diploma ya Ualimu kutoka kwenye Chuo kinacho tambuliwa na serikali.
ii. Awe anaishi jijini Dar Es Salaam.
iii. Awe na wito na kazi ya ualimu.

ANDIKA MAOMBI YAKO KWENDA : neemarecruitmentagency@gmail.com
Maombi yaelekezwe kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency, S.L.P 35930, DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kupokea maombi, ni tarehe 31 DESEMBA 2015.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MAOMBI : Andika maombi yako kupitia APPLY NOW button below .au Maombi yaelekezwe kwa :

Mkurugenzi Mtendaji,
Neema Recruitment Agency,
S.L.P 35930,
DAR ES SALAAM