Saturday, December 19, 2015

JOB VACANCY in TANZANIA: Tour Escort

TOUR ESCORT POSITION DESCRIPTION:
TOUR ESCORTS
Kampuni inayo husika na kusindikiza na kuongoza watalii na wageni wa ndani na nje ya nchi, inatangaza nafasi za kuongoza na kusindikiza watalii na wageni kutoka ndani na nje ya Tanzania.

SIFA ZA MWOMBAJI.
i. Awe wa jinsia ya kike
ii. Awe na Cheti AU Diploma ya Kuongoza watalii kutoka katika chuo kinacho tambulika AU
iii. Awe Cheti au Diploma ya ukarimu ( Hospitality ) kutoka kwenye chuo kinacho tambuliwa na serikali AU
iv. Elimu ya kuanzia kidato cha sita na kuendelea.
v. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha katika lugha za Kiswahili na Kiingereza.
vi. Akiwa na ufahamu wa lugha za kimataifa zaidi ya moja, itakuwa ni sifa ya ziada kwa mwombaji.
vii. Awe anaishi Dar Es Salaam, Arusha, Moshi, Zanzibar , Musoma au Mwanza.
viii. Awe maridadi na mchapakazi.

ANDIKA MAOMBI YAKO KWENDA : 
neemarecruitmentagency@gmail.com
Maombi yaelekezwe kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency, S.L.P 35930, DAR ES SALAAM.
TOUR ESCORTS
Kampuni inayo husika na kusindikiza na kuongoza watalii na wageni wa ndani na nje ya nchi, inatangaza nafasi za kuongoza na kusindikiza watalii na wageni kutoka ndani na nje ya Tanzania.

SIFA ZA MWOMBAJI.
i. Awe wa jinsia ya kike
ii. Awe na Elimu ya kuanzia Cheti cha Kuongoza watalii kutoka katika chuo kinacho tambulika AU
iii. Cheti cha ukarimu ( Hospitality ) kutoka kwenye chuo kinacho tambuliwa na serikali AU
iv. Elimu ya kuanzia kidato cha sita na kuendelea.
v. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha katika lugha za Kiswahili na Kiingereza.
vi. Akiwa na ufahamu wa lugha za kimataifa zaidi ya moja, itakuwa ni sifa ya ziada kwa mwombaji.
vii. Awe anaishi Dar Es Salaam, Arusha, Moshi, Zanzibar , Musoma au Mwanza.
viii. Awe maridadi na mchapakazi.
ANDIKA MAOMBI YAKO KWENDA : neemarecruitmentagency@gmail.com
Maombi yaelekezwe kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency, S.L.P 35930, DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kupokea maombi, ni tarehe 31 DESEMBA 2015.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

MAOMBI : Andika maombi yako  Kisha yaelekezwe kwa :

Mkurugenzi Mtendaji,
Neema Recruitment Agency,
S.L.P 35930,
DAR ES SALAAM