Thursday, March 31, 2016

Wabunge 3 Waburuzwa Kotini kwa Rushwa



Wabunge 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge waliopandishwa Mahakama ya Kisutu wanatuhumiwa kumuomba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Gairo rushwa ya Shilingi Milioni 30. 

Wabunge hao sasa wanakamilisha taratibu za dhamana kwa kila mmoja kulipa shilingi Million 5 na watakua nje hadi April 15 kesi yao itakapo sikilizwa tena.

Chanzo ITV