Monday, April 18, 2016

Msanii Tundaman Apata Ajali Mbaya.

Msanii Tundaman jana amenusirika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari mkoani Iringa. Rafiki wa Tunda, Mussa (Man Katuzo) aliyekuwa dereva wa gari hilo alipoteza maisha.

Tupia neno moja la pole kwa Tundaman, na pia Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Mussa (Man Katuzo). Amina