Tuesday, May 9, 2017

ARUSHA: Watano Wafariki Dunia Baada ya Nyumba Kuangukiwa na Mti

ARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two, Kijiji cha Kinyeresi, wilayani Arumeru, Arusha,  usiku wa kuamkia leo. 




Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi!


MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>