Tuesday, May 9, 2017

AJALI: Basi la Allys na Coaster Yagongana Shinyanga, 60 Wanusurika Vifo

Ajali mbaya imetokea asubuhi hii mkoa wa Shinyanga eneo la Kizumbi, Mbuyuni kwenye kona.Basi la la kampuni ya Allys kutoka Mwanza limegongana na Coaster inayofanya safari kati ya Isanzu na Kahama.


Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya.



MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>