Sunday, October 4, 2015

BREAKING NEWS!!!: Mzee Kingunge Atangaza Rasmi Kujitoa CCM...HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>

Mzee Kingunge atangaza rasmi katika mkutano na waandishi wa Habari hivi punde kuwa amejitoa rasmi katika chama cha Mapinduzi.

Mbali na kujitoa kutoka katika chama hicho pia amezungumzia mapungufu mbalimbali yaliyopo kwenye chama hicho pamoja na udhaifu wa viongozi wake.