Sunday, October 4, 2015

MAJONZI: Afisa wa Chadema Afariki Dunia na Mgombea Ubunge kwa Chama hicho yupo Mahututi. BOFYA HAPA=>

Afisa uhamasishaji wa Chadema kanda ya nyanda za juu kusini Bw. Erasto Nyingi amefariki dunia huku mgombea ubunge wa jimbo la Nyasa kwa tiketi ya chama hicho Bw. Casbert Ngwata na mlinzi wake wakiwa mahututi baada ya gari lao aina ya Landcruiser kupata ajali wilayani Nyasa mkoani Ruvuma kufuatia kutekwa na watu watatu wawili kati yao wakiwa na bunduki walizowaelekezea usoni ambapo wakati wakijaribu kuwakwepa ndipo ikatokea ajali hiyo.

Chanzo: ITV