Sunday, October 25, 2015

Sokomoko Laibuka Kuhusu Majina Ya Wapiga Kura. HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>

Katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania kumetokea changamoto baada ya baadhi ya watu majina yao kuto kuonekana katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Hali hii imeripotiwa kutokea katika kituo cha Meko, nje kidogo ya mji wa Mwanza, ambapo baadhi ya wananchi majina yao hayakuonekana jambo lililopelekea kukosa haki yao ya msingi ya kupiga kura.

Chanzo: BBC

ENDELEA KUPATA HABARI ZETU KWA KU CLICK HAPA>>